[emoji23][emoji23][emoji23]. True dat. I want some right now...Everybody wants some!!
Wanasiasa wa Kiafrika hii inawahusu sana!Hakuna mwanasiasa mwenye lengo la kuitetea nchi.. Wote ni kwa maslahi binafsi.. Sociopolitical theory of the state - theory number 2
YeahWanasiasa wa Kiafrika hii inawahusu sana!
Powa..Good night friends!
Tomorrow is another day
Hii ni nini? Sociology, Psychology au ni Falsafa? Aisee lazima uligonga A+...Indirect abortion is allowed only in case of ....( Nimesahau) yeah save the mother kill the baby because a mother will produce another children- Fundamental ethics
like bila ya kufanya kazi...duh mjomba kidevu akijua tutapata shida,....Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa hata ukicomment herufi moja tu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
...ya kufanya nini mkuu? Kutajirika au?nasubiri time yangu
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
Zote hizo ni Falsafa.... Ila Kwenye ethics fundamental one katika principles of double effects .. In case mama mjamzito ana matatizo yaliyothibitishwa na daktari...kunakua na chagua moja either to save the mother or the baby.....its not according to mother's will...Hii ni nini? Sociology, Psychology au ni Falsafa? Aisee lazima uligonga A+...