IndeedTuombe afya kwa mungu
Mkuu vipi umefikwa na kipi? maelezo yako yamenishtua mkuuHabari ya majukumu ya leo ndugu zangu,nimewakumbuka sana kwa upendo wenu.Tunafarijiana tunapokuwa kwenye shida,Mungu aendelee kutuunganisha zaidi na zaidi
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app