Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

14659379_330314114028554_5156249702185828352_n.jpg
 
Nimependa unavyo limaliza tatizo[emoji122] [emoji122] [emoji122],unaukumbuka ushauri ulioutoa kwa mkuu mambo mwanzo kabisa wa huu Uzi?Muongozo ulioutoa siku ile ndio uliotufikisha hapa.Ahsante kwa myoyambendi kwa kusimamia dhana ya uzi wetu.Familia yetu imeongezeka sana,tuishi kwa akili sana ili tusisambaratike.

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Hakika kabisa, tutawapokea wageni lakini kidogo kidogo tutawaelimisha ili wajue vigezo na masharti yanayopaswa kuzingatiwa na uzi huu

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom