myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Jioni imeshika kasi
AiseeTukio muhimu zaidi ndani yake ni Fatah-e-Makkah (Kutekwa kwa Makka). Baada ya hapo, eneo la Uarabuni lilipata fursa ya kuungana na Uislamu ha ukaenea nje ya eneo hilo.
✔️✔️Watu wa Bonde la Uarabuni walijiita al-Arab au wakazi wa Bara Arabu. Kwanini walijiita Waarabu haijulikani. Hata hivyo, wengi wao walikuwa wanahamahama jangwani kwa ina Bedouins.
SawaWatu wa Bonde la Uarabuni walijiita al-Arab au wakazi wa Bara Arabu. Kwanini walijiita Waarabu haijulikani. Hata hivyo, wengi wao walikuwa wanahamahama jangwani kwa ina Bedouins.
SawaKaaba ilijengwa kwa msingi wa jengo la kale. Jengo hilo la zamani linasemekana kuwa moja ya miundo ya kwanza kujengwa kwenye ardhi
SawaInasemekana kuwa aliweka msingi wa Kaaba huko Makka.
InawezekanaKisha Mtume Ibrahim (Ibrahim) alipokuja Palestina kutoka Misri, aliamrishwa kwenda Makka. Alifika Makka pamoja na mkewe Hajra na mwana wao Ismail.
InawezekanaImetajwa pia katika vitabu vya Taurati na Injili (Biblia) za Wayahudi.
SawasawaMtaalamu maarufu wa mambo ya mashariki kutoka Uholanzi Dozey ameandika kwamba historia ya Makka huanza na wakati wa Mtume Dawood.
SawaKulingana na kitabu cha Cambridge 'Historia ya Kiislamu', kabla ya Uislamu kulikuwa na falme ndogo na hakukuwa na eneo lililopangwa kisiasa au umoja.
InawezekanaWaislamu hao walifika Makka na kupiga kambi eneo la maili kumi kutoka Makka. Wakati habari za kuwasili kwa watu hawa zilipowafikia watu wa kabila la Quraishi wa Makka, kiongozi wao Abu Sufyan alimwendea mtume Muhammad na akatangaza kuukubali Uislamu.
SawasawaMuhammad alipoondoka Madina na maswahaba zake siku ya kumi ya Ramadhani, Hijri nane (AD 630), walikuwa watu 7,000. Msafara huo uliungana na watu kutoka makabila mengine kadhaa wakati wa safari na idadi ya watu katika msafara huo ikafikia 10,000.
SawasawaTakriban mwaka mmoja baada ya mkataba wa Hudaibiya, baadhi ya matukio yalitokea, ambayo yaliufanya Udugu wa Kiquraishi kutangaza kusitishwa kwa mkataba huo.
Sawasawa ✔️Baadhi ya masharti ya mkataba huo kwa hakika yalikuwa dhidi ya Waislamu, lakini Qur'an iliuita mkataba huo Fatah-e-Mubeen (ushindi wa wazi).
Nakubali hiliHata kabla ya kuzaliwa Mtume wa Uislamu, Muhammad, Makka ilikuwa imekuwa kituo kikuu cha biashara. Kwa mujibu wa kitabu cha Cambridge, Makka ilikuwa ikiimarika huku milki za Uajemi na Roma zikidhoofika kutokana na vita vya muda mrefu.