myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mungu atupe afya na uzima 🤲 🙏
AminMungu awaponye wagonjwa 🤲 🙏
Inshaallah, Amani itawaleAmin itawale usiku wetu🙏🤲
🙏🙏Usiku mwema wafanyakazi wa maofisini, maandalizi ya kesho
🙏🙏Usiku mwema wakusoma na waalimu wenu, maandalizi ya kesho
🙏🙏🙏Usiku mwema wadau wa sokoni dukani saluni gengeni na hotelini, maandalizi ya kesho
🙏🙏Usiku mwema wadau wa daladala bajaji bodaboda na kwenye vivuko
🙏🙏Usiku mwema wakulima wafugaji wavuvi na wamachinga, maandalizi ya kesho
🙏🙏Usiku mwema mamalishe wote, maandalizi ya daku
AminMungu atupe afya na uzima 🤲 🙏
AminMungu atupe usiku wenye amani na utulivu 🙏 🤲