myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AminMungu awaponye wagonjwa π€² π
Inshaallah, Amani itawaleAmin itawale usiku wetuππ€²
ππUsiku mwema wafanyakazi wa maofisini, maandalizi ya kesho
ππUsiku mwema wakusoma na waalimu wenu, maandalizi ya kesho
πππUsiku mwema wadau wa sokoni dukani saluni gengeni na hotelini, maandalizi ya kesho
ππUsiku mwema wadau wa daladala bajaji bodaboda na kwenye vivuko
ππUsiku mwema wakulima wafugaji wavuvi na wamachinga, maandalizi ya kesho
ππUsiku mwema mamalishe wote, maandalizi ya daku
AminMungu atupe afya na uzima π€² π
AminMungu atupe usiku wenye amani na utulivu π π€²