Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Usipende kujihukumu kila wakati. Jisamehe then sahau na uanze upya.
✔️Mambo mengine ni bora usiyafahamu ili ubaki kuwa na Amani.
SawaAnaye kupenda ni yule anaye kuambia ukweli. Hata kama utachukia ila Lengo ubadilike.