myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sawa kabisaHakuna kheri katika minong’ono yao mingi isipokuwa anayeamrisha kutoa swadaqa, au mema, au kusuluhisha baina ya watu. Na atakayefanya hivyo kutaka Radhi za Allaah, basi Tutampa ujira mkubwa kabisa.
KweliHata watu wema huchoka kutenda wema mbele ya watu wasio na Shukrani.
NakubaliHata watu wema huchoka kutenda wema mbele ya watu wasio na Shukrani.
🤲🤲Hakika Sisi Tumekuteremshia (ee Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم) Kitabu kwa haki ili uhukumu baina ya watu kwa Aliyokuonyesha Allaah. Wala usiwe mtetezi kwa makhaini.
✔️✔️Na lau kuwa si Fadhila ya Allaah na Rehma Yake juu yako (ee Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم), bila shaka kundi miongoni mwao lingefanya hima kudhamiria kukupoteza. Na hawazipotezi ila nafsi zao, na hawakudhuru kwa chochote. Na Allaah Amekuteremshia Kitabu na Hikmah na Akakufunza yale ambayo hukuwa unayajua. Na Fadhila za Allaah juu yako daima ni adhimu (na kubwa mno).
Sawa kabisaNa atakayechuma kosa au dhambi kisha akamtupia asiye na hatia, basi kwa yakini amejitweka (dhulma ya) usingiziaji na dhambi bayana.
KweliMkumbushe mwanao kicheko na kilio ni ndugu
👍Mkumbushe mwanao kicheko na kilio ni ndugu
Sawa na kweliNa atakayechuma kosa au dhambi kisha akamtupia asiye na hatia, basi kwa yakini amejitweka (dhulma ya) usingiziaji na dhambi bayana.
🤲👍Na atakayechuma dhambi, basi hakika anaichumia madhara nafsi yake. Na Allaah daima Ni Mjuzi wa yote, Mwenye Hikmah wa yote.
🙏🙏Na atakayetenda ovu au akajidhulumu nafsi yake, kisha akamwomba Allaah maghfirah, basi atamkuta Allaah Ni Mwingi wa Kughufuria, Mwenye Kurehem
👍👍Ha! Nyinyi ndio hawa mliowatetea katika uhai huu wa duniani. Basi nani atakayewatetea kwa Allaah Siku ya Qiyaamah? Au nani atakayekuwa mwakilishi wao wa kumtegemea?
SahihiNa muombe Allaah maghfirah. Hakika Allaah daima Ni Mwingi wa Kughufuria, Mwenye Kurehemu.
Sahihi kabisaMtakapomaliza Swalaah, mdhukuruni Allaah mkiwa wima, mmeketi, au mmejinyoosha. Na mtakapopata utulivu, basi simamisheni Swalaah (kama desturi), hakika Swalaah kwa Waumini ni fardhi iliyowekewa nyakati maalumu
SawasawaNa atakayechuma dhambi, basi hakika anaichumia madhara nafsi yake. Na Allaah daima Ni Mjuzi wa yote, Mwenye Hikmah wa yote.