Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Bidii...Mkumbushe mwanao kuwa mafanikio hayatokei kama mlipuko kuna mchanganyiko wa jasho nguvu maumivu vikwazo akili na bidii
SawaMkumbushe mwanao utajiri Unaisha ila Umasikini unadumu
🙏🙏Ukiishi kwa kulifatisha neno lake na mafunzo yake hakika utaishi kwa furaha na amani na baraka zake Mungu zitakuwa juu yako.
Kwelipambana sana na maisha ila usisahau
kufurahia maisha pia Sababu sisi sote
hatujaahidiwa kesho
✔️✔️pambana sana na maisha ila usisahau
kufurahia maisha pia Sababu sisi sote
hatujaahidiwa kesho
UjumbeUkikielewa kifo, Umeyaelewa maisha, Maisha yamejawa na kwaheri za ghafla sana, tusichoke kujuliana hali,kuombeana na kupendana wakati huu tupo Hai.
🤲🙏Mkumbushe mwanao kuwa mafanikio hayatokei kama mlipuko kuna mchanganyiko wa jasho nguvu maumivu vikwazo akili na bidii
🤲🤲Hakuna kheri katika minong’ono yao mingi isipokuwa anayeamrisha kutoa swadaqa, au mema, au kusuluhisha baina ya watu. Na atakayefanya hivyo kutaka Radhi za Allaah, basi Tutampa ujira mkubwa kabisa.