mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Wakati Real Madrid watakapomenyana na Manchester City siku ya Jumanne katika robo fainali ya Ligi ya Mabingwa, huenda namba saba asiwee kama mchezaji mwenye kipaji zaidi kwenye uwanja wa Santiago Bernabeu - ingawa ni miongoni mwa wanaoangaziwa.