myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wachezaji weusi wote wanabaguliwa, ila huyu Vinicius akibaguliwa anahamaki.Sijawahi kuona mchezaji anayebaguliwa kama Vinicius'
SawasawaWachezaji weusi wote wanabaguliwa, ila huyu Vinicius akibaguliwa anahamaki.
Hilo linawafanya wabaguzi wake waebdelee kulifanya.
Anatakiwa apuuze
Amin 🙏Sikukuu ikawe njema kwa watu wote
🙏🙏Usiku mwema mamalishe wote, Eid Mubaraka
🙏🙏Usiku mwema walezi wa familia zetu, Eid Mubaraka
🙏🙏Eid Mubaraka mliokuwa maofisini
🙏🙏Eid Mubaraka wadau wa daladala bajaji bodaboda na kwenye vivuko
🙏🙏Eid Mubaraka wadau wa sokoni dukani saluni gengeni na hotelini
🙏🙏Eid Mubaraka wakusoma na waalimu wenu
Eid Mubaraka wakulima wafugaji wavuvi na wamachinga