myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
👍👍Hauwezi kuwa na furaha muda wote. Jifunze kuishi katika usawa. Balance is key in life.
👍👍Hauwezi kuwa na furaha muda wote. Jifunze kuishi katika usawa. Balance is key in life.
NakubaliHakikisha unahifadhi pesa kwa ajili ya dharura. Usitumie pesa hovyo hasa nyakati za sasa. Hifadhi pesa japo kidogo lakini hifadhi kila siku. Maana Kuishi bila malengo ni mzigo. Hivi karibuni utaona maisha hayana maana kwako.
Kila kitu....Kuishi maisha makamilifu haiwezekani. Usipoteze muda kuwa sahihi kwa kila kitu.
👍👍✔️Hauwezi kuwa na furaha muda wote. Jifunze kuishi katika usawa. Balance is key in life.
AminaSijui ni nani atataka kusikia hili, ila nikueleze tu kwamba; "Siku moja, mtu fulani atakuja kukuchagua wewe na ataendelea kukuchagua wewe kila siku iitwayo leo. Mwenyezi Mungu akusaidie.”
👍✔️👍Maisha Si mashindano. Niamini mimi hakuna anayeenda kushinda, mwisho wa siku Tupo hapa Duniani kwa muda tu.
NakubaliWakati wao wanagombania nyama, Wewe nenda ukamchinje ng'ombe Mwingine.
🙏🙏Sijui ni nani atataka kusikia hili, ila nikueleze tu kwamba; "Siku moja, mtu fulani atakuja kukuchagua wewe na ataendelea kukuchagua wewe kila siku iitwayo leo. Mwenyezi Mungu akusaidie.”
✔️👍👍Wakati wao wanagombania nyama, Wewe nenda ukamchinje ng'ombe Mwingine.
✔️✔️✔️Wakati wao wanagombania nyama, Wewe nenda ukamchinje ng'ombe Mwingine.
Muhimu hiiTajiri wa kawaida tu ana chanzo zaidi ya kimoja cha mapato yake. Je wewe una vyanzo vingapi vya kipato? Nikukumbushe tu hakuna utajiri wa chanzo kimoja cha Mapato.
NakubaliMaisha siyo presha. Presha ni jamii inayotaka kukulazimisha uishi kama wanavyotaka wao.
AiseeUkitaka kuwafurahisha watu ongelea mazuri yao ukiacha yote yanayowakera.
AiseeUkitaka kuwafurahisha watu ongelea mazuri yao ukiacha yote yanayowakera.