moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Aisee, wahindu wana kaziMuigizaji wa India anayewania kuteuliwa mgombea wa chama tawala amelazimika kukanusha uvumi kuwa anakula nyama ya ng'ombe.
Kwamba aina ya chakula ni turufu muhimu kwenye kampeni za uchunguzi!!Kangana Ranaut, mfuasi mkubwa wa Chama cha Bharatiya Janata (BJP), alisema madai ya wapinzani wake ni "ya aibu" na "uvumi usio na msingi".
✔️✔️Usiache kupambana kila siku bila kukata tamaa, Kumbuka wewe ndio mtetezi wa Familia yako.
SawasawaKwamba aina ya chakula ni turufu muhimu kwenye kampeni za uchunguzi!!
Hiyo ni hoja ya aibu kwa Nchi inayoheshimika kwa kudumisha demokrasia kama India.
SawasawaTunaumizana sababu ya mambo ya Duniani tu. Lakini ni hakuna ambaye anajua amebakiza siku ngapi za kuishi.
Safiiiii
👍Tunaumizana sababu ya mambo ya Duniani tu. Lakini ni hakuna ambaye anajua amebakiza siku ngapi za kuishi.
✔️✔️Tunaumizana sababu ya mambo ya Duniani tu. Lakini ni hakuna ambaye anajua amebakiza siku ngapi za kuishi.
AiseeHistoria ni mwalimu mzuri ambaye hachoshi kama ukimpa nafasi akufundishe.
👍👍Katika kuijenga kesho yako nzuri. Kuna aina fulani ya maisha inabidi yakupite Hata kama uliyatamani sana.
👍✔️Katika kuijenga kesho yako nzuri. Kuna aina fulani ya maisha inabidi yakupite Hata kama uliyatamani sana.
SawaKaa na watu wanao tetea jina lako hata kama Haupo.
👍👍👍Tambua nafasi yako kwenye maisha ya watu Ili usije ukazidisha juhudi Ukaonekana Msumbufu.
KweliTunaishi mara moja tu. Ni vema ukaishi maisha unayoyapenda kweli kweli.
Kweli kabisaTunaishi mara moja tu. Ni vema ukaishi maisha unayoyapenda kweli kweli.
SawasawaSijui ni nani atataka kusikia hili, ila nikueleze tu kwamba; "Siku moja, mtu fulani atakuja kukuchagua wewe na ataendelea kukuchagua wewe kila siku iitwayo leo. Mwenyezi Mungu akusaidie.”
Ukweli huoTajiri wa kawaida tu ana chanzo zaidi ya kimoja cha mapato yake. Je wewe una vyanzo vingapi vya kipato? Nikukumbushe tu hakuna utajiri wa chanzo kimoja cha Mapato.
Ujumbe ✔️Hakikisha unahifadhi pesa kwa ajili ya dharura. Usitumie pesa hovyo hasa nyakati za sasa. Hifadhi pesa japo kidogo lakini hifadhi kila siku. Maana Kuishi bila malengo ni mzigo. Hivi karibuni utaona maisha hayana maana kwako.
👍✔️Hauwezi kuwa na furaha muda wote. Jifunze kuishi katika usawa. Balance is key in life.