myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ujumbe huoMuda mwingine lazima hekima itumike, unamsamehe mtu hata kama yeye binafsi hajakuomba msamaha, unamuacha aende, unabaki na amani yako na unaendelea na maisha. Kwa kufanya hivyo hakukufanyi uonekane dhaifu, bali inaonyesha kwamba unathamini nafsi yako kuliko ujinga uliofanyiwa.