Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwenye msiba mkubwa wa familia wakati wengine wanalia na kuchanganyikiwa yuko yule anayesimama kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa. Sisi wote tunaweza kuwa na nguvu ya huyu mtu katika yote magumu ya maisha yetu bado tukasimama na kuweka mambo sawa kwa jina la mwenyezi Mungu
 
Kama kwenu hakuna pakuanzia basi jua wewe ndio mwanzo, hauna wa kukushika mkono jua ww ndio unatakiwa uje kuwashika wengine mkono, kama hakuna njia mjenzi ni wewe ijenge, hiyo inaitwa vita ya kutoka sifuri kwenda moja ni vita ngumu sana lakini inawezekana pigana
 
Back
Top Bottom