Mafanikio yanaombwa na kutafutwa na wengi, ukiyapata jua Mungu amekubariki katika wengi, ukiyatumia kuwanyoosha wengine, kuwapa maumivu, unakuwa umezitumia baraka za Mungu kufanya kazi ya Shetani.

Kwenye msiba mkubwa wa familia wakati wengine wanalia na kuchanganyikiwa yuko yule anayesimama kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa. Sisi wote tunaweza kuwa na nguvu ya huyu mtu katika yote magumu ya maisha yetu bado tukasimama na kuweka mambo sawa kwa jina la mwenyezi Mungu

Watu ambao ni matokeo ya matatizo na vikwazo walivyo kutana navyo katika safari ya maisha yao, hutaweza kuwa kikwazo au tatizo kwao labda kwa muda tu lakini watakutatua

Kama kwenu hakuna pakuanzia basi jua wewe ndio mwanzo, hauna wa kukushika mkono jua ww ndio unatakiwa uje kuwashika wengine mkono, kama hakuna njia mjenzi ni wewe ijenge, hiyo inaitwa vita ya kutoka sifuri kwenda moja ni vita ngumu sana lakini inawezekana pigana

Tunaweza kuwa zaidi ya tulivyo, tunaweza fika zaidi ya tulipo, tunaweza pata zaidi na zaidi, kwasababu tumeumbwa kwa mfano wa Mungu na Mungu wetu niwamaajabu- ndani yetu upo uwezo zaidi ya tunavyo jichukulia