Si kila tatizo linakuja kuvuruga maisha yako ,matatizo mengine yanakuja ili kukuweka sawa wewe na maisha yako .. Baki na Yesu ushindi wako upo ukiwa ndani yake

Wakati mwingine tatizo huwa si yale tunayofikiri kuwa ni chanzo cha matatizo kwa sababu yamekosekana katika maisha yetu ila tatizo ni pale tunaposhindwa kushughulika vizuri na matatizo yaliyo ndani ya uwezo wetu

Kwenye maisha usilikimbie tatizo Bali likabili tatizo na ulitatue, kuwa mkomavu si kuogopa na kulikimbia tatizo Matatizo mengine ukiyakwepa Leo bila kuyatatua yanaja angamiza watoto wako na wajukuu zako*

Kuna Waandishi huwa wanaandika vitabu ambavyo ni vya 'kutatua tatizo'.Vitabu hivi huwa vinawanufaisha zaidi watunzi wenyewe na si wasomaji.Kwasababu watu wengi siku hizi hutafuta zaidi kutatuliwa matatizo yao kuliko kupata maarifa.

Tunapenda kuongelea matatizo na mapungufu ambayo yatatupa nafasi ya kuwalaumu watu fulani lakini si yale yatakatotulazimisha tukubali kuwa sisi ni tatizo."
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.