moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ujumbe ✔️Tabia za mtu zinaweza kuwa daraja lake ama ukuta wake. Lakini tabia za mtu sio mwisho wake kwasababu mtu anaweza kubadilika akavunja ukuta na kujenga madaraja akiamua kubadilika na kujifunza yapi ya kuyabadilisha
✔️I need your love
Baby I'm, lovesick
Give me that love
Give me your love breaks
Baby I'm, lovesick
SawasawaTabia za mtu zinaweza kuwa daraja lake ama ukuta wake. Lakini tabia za mtu sio mwisho wake kwasababu mtu anaweza kubadilika akavunja ukuta na kujenga madaraja akiamua kubadilika na kujifunza yapi ya kuyabadilisha
SawaAnaye kujali atakuzingatia
✔️✔️Yeah gonna be that rhythm something you wanna be that be that rhythm something
✔️Yeah gonna be that rhythm something you wanna be that be that rhythm something
SawaKipaji au uwezo ni vitu unaweza kuzaliwa navyo lakini fursa nikitu cha kutafuta, hivyo fursa nimali ya mtafutaji yeyote, tuendelee kujitafuta