myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Aisee
Aisee
KweliPalipo na juhudi matunda hayakosekani
KweliPalipo na juhudi matunda hayakosekani
SawaSio rahisi kuonea wivu vitu ambavyo viko chini ya ndoto yako, kwa hivyo wivu wa mtu pia nikipimo cha ndoto zake
Ujumbe ✔️Maisha nikuwa na furaha ndio, amini hivyo na siku zako za huzuni zitakuwa ni nyingi mnoo, kwasababu furaha ni moja ya kituo katika vituo vingi vya safari ya Maisha, Mm naamini Maisha ni kumwomba Mungu atupe nguvu na baraka yakuwa salama katika mapito ya hii safari na vituo vyake
Tanzania 🇹🇿 yetu
✔️✔️Sio rahisi kuonea wivu vitu ambavyo viko chini ya ndoto yako, kwa hivyo wivu wa mtu pia nikipimo cha ndoto zake
Jambo la kawaida...Mtu asiye badilika kifikra na kimtizamo ni mtu asiye fikiri na kuchunguza, watu wanao fikiria, kuchunguza na kutafakari huelewa upya, hutizama upya hivyo kubadilika kifikra na kimtizamo kwao ni jambo la kawaida
Safiiiii
✔️✔️Mtu asiye badilika kifikra na kimtizamo ni mtu asiye fikiri na kuchunguza, watu wanao fikiria, kuchunguza na kutafakari huelewa upya, hutizama upya hivyo kubadilika kifikra na kimtizamo kwao ni jambo la kawaida
SafiiiiiIs anybody there?
I come up for air
Feels like I'm drowning
Does anybody care?
It makes no sense at all
Such a long way to fall
I knew it was coming
I could feel it in the air
SawaFeels like I'm falling
It's time but your stalling
You said all you need is a little time and some space
These words that you've spoken
Have left me so broken
Seems at this moment that
I've fallen from grace
✔️✔️Is anyone around?
My head hits the ground
I feel like I'm no one
I'm lost in the crowd
It makes no sense at all
So divided we fall
I'm breaking my silence
But you don't hear me call
And you don't see me fall