Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
T - Tafakari:** Tafakari kwa kina kuhusu sababu za hasira yako. Je, ni kitu gani hasa kilichosababisha hisia hizo?
UjumbeKwenye maisha
yako fahamu kwamba utakutana na watu wa nyakati, watakuheshimu, kukusikiliza, kukutaka ushauri, kukuthamini na kukupenda kwa nyakati fulani tu za shida zao, nyakati hizo zikipita tu hutokuwa na thamani tena kwao kwako ni muhimu kuwatambua.
SawaNi aina ya magonjwa ya akili ambayo husababisha hisia za hofu, kutokujiamini na wasiwasi ambao unaweza kusababisha matatizo katika maisha.