myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kweli...inapotokea umemwamini sana mtu huku tumaini lako likiwa kwake TU kutokana na ahadi ambazo umekuwa ukipatiwa na mtu huyo katika kukuwezesha kupiga hatua moja mbele, baadae unakuja kugundua kuwa nae ameshakuacha basi endelea kupambana na hali yako!!!!
✅️✅️✅️inapotokea umemwamini sana mtu huku tumaini lako likiwa kwake TU kutokana na ahadi ambazo umekuwa ukipatiwa na mtu huyo katika kukuwezesha kupiga hatua moja mbele, baadae unakuja kugundua kuwa nae ameshakuacha basi endelea kupambana na hali yako!!!!
Maarifa✔️mambo makubwa maishani huwa yanahitaji UVUMILIVU MKUBWA sana, lakini kikubwa zaidi ni kutokufanya kwa uharaka mambo yenye kuwekeza bila kuwa na UJUZI ama MAARIFA ya kutosha kwenye kile ulichoamua KUWEKEZA!!!!
Nakubali hilikwenye maisha kabla hajaanza kusema au kusambaza habari yoyote hebu fanya juhudi kidogo kujiuliza kama ni kweli? Kila cha UONGO unachosema ama kusambaza hata kama haujakianzisha wewe kuna mtu mahali kinamdhuru, kinamuumiza na kuacha MADHARA ya kudumu!!!!
✔️✔️✔️kwenye maisha kabla hajaanza kusema au kusambaza habari yoyote hebu fanya juhudi kidogo kujiuliza kama ni kweli? Kila cha UONGO unachosema ama kusambaza hata kama haujakianzisha wewe kuna mtu mahali kinamdhuru, kinamuumiza na kuacha MADHARA ya kudumu!!!!
Aiseeleo hii kabla ya kuamua KUSEMA au KUANDIKA chochote kile hebu tumia dakika chache na ujiulize_ je, hicho unachotaka kufanya ni kweli? Nakukumbusha kuwa kama hauna uhakika ni bora ukaacha KUFANYA!!!!!
Aiseeleo hii kabla ya kuamua KUSEMA au KUANDIKA chochote kile hebu tumia dakika chache na ujiulize_ je, hicho unachotaka kufanya ni kweli? Nakukumbusha kuwa kama hauna uhakika ni bora ukaacha KUFANYA!!!!!
👍Inawezekana kikawa ni kitu chenye ukweli lakini jiulize ni kitu kizuri kinachojenga? Kumbuka kila habari HASI unayoruhusu kuwa sehemu ya maisha yako ina ATHARI kubwa bila wewe kujua_ ukijikuta unasambaza zaidi mabaya ya wengine, hiyo ni MBEGU unaipanda na UTAIVUNA!!!!
SawasawaInawezekana kikawa ni kitu chenye ukweli lakini jiulize ni kitu kizuri kinachojenga? Kumbuka kila habari HASI unayoruhusu kuwa sehemu ya maisha yako ina ATHARI kubwa bila wewe kujua_ ukijikuta unasambaza zaidi mabaya ya wengine, hiyo ni MBEGU unaipanda na UTAIVUNA!!!!
Sawahebu jiulize kuna umuhimu wowote wa wewe kusema hicho au unataka kufurahisha watu tu? Kuna faida yoyote unayoitengeneza kwa wanaokusikiliza au kusoma? Kuna Kitu wanasaidika nacho wakikisikia? Kuna somo wanajifunza? Ama unasema tu ili uonekane UNAKIJUA?
📌📌📌Inawezekana kikawa ni kitu chenye ukweli lakini jiulize ni kitu kizuri kinachojenga? Kumbuka kila habari HASI unayoruhusu kuwa sehemu ya maisha yako ina ATHARI kubwa bila wewe kujua_ ukijikuta unasambaza zaidi mabaya ya wengine, hiyo ni MBEGU unaipanda na UTAIVUNA!!!!
Sawasawahebu leo kabla haujasema au kuandika chochote KILE, jaribu kufanya zoezi la kupitisha unachosema katika MCHUJO wa umakini uliomakinika kwani ITAKUSAIDIA sana kujua nini cha kusema na nini cha kutokusema!!!!