Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

hebu leo kabla haujasema au kuandika chochote KILE, jaribu kufanya zoezi la kupitisha unachosema katika MCHUJO wa umakini uliomakinika kwani ITAKUSAIDIA sana kujua nini cha kusema na nini cha kutokusema!!!!
 
Inawezekana kikawa ni kitu chenye ukweli lakini jiulize ni kitu kizuri kinachojenga? Kumbuka kila habari HASI unayoruhusu kuwa sehemu ya maisha yako ina ATHARI kubwa bila wewe kujua_ ukijikuta unasambaza zaidi mabaya ya wengine, hiyo ni MBEGU unaipanda na UTAIVUNA!!!!
 
kwenye maisha kabla hajaanza kusema au kusambaza habari yoyote hebu fanya juhudi kidogo kujiuliza kama ni kweli? Kila cha UONGO unachosema ama kusambaza hata kama haujakianzisha wewe kuna mtu mahali kinamdhuru, kinamuumiza na kuacha MADHARA ya kudumu!!!!
 
kitu kimoja nachompendea HUYU MUNGU WETU ni kuwa yeyote yule anayejaribu KUSHINDANA NA MAONO ambayo MUNGU ameyaweka NDANI YAKO huwa anahakikisha anakaa upande wako na KUKULINDA HUKU MAADUI ZAKO WAKITAWANYIKA_ usikate TAMAA ENDELEA KUPIGANIA MAONO YAKO!!
 
Back
Top Bottom