myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️✔️Mungu atujaalie afya njema
✔️✔️✔️Mungu atujaalie afya njema
SahihiImani sio kuamini kwamba Mungu atatenda kile tunachotaka, ila imani ni kuamini kwamba Mungu atatutendea kile kilicho sahihi kwetu.
✔️✔️Always remember, you are living a life which few people dream of living. Never regret your life.
📌📌Kipaji chako huamua kile unachoweza kufanya. Motisha yako huamua ni kiasi gani uko tayari kufanya. Mtazamo wako huamua jinsi unavyofanya vizuri.
📌📌Kipaji chako huamua kile unachoweza kufanya. Motisha yako huamua ni kiasi gani uko tayari kufanya. Mtazamo wako huamua jinsi unavyofanya vizuri.
Vizuri....Kipaji chako huamua kile unachoweza kufanya. Motisha yako huamua ni kiasi gani uko tayari kufanya. Mtazamo wako huamua jinsi unavyofanya vizuri.
🙏🙏Eee Mungu tuepushe na changamoto ambazo pesa haziwezi kutatua
🙏Eee Mungu tuepushe na changamoto ambazo pesa haziwezi kutatua
🙏🙏🙏Eee Mungu tuepushe na changamoto ambazo pesa haziwezi kutatua
KweliBinadamu wanaweza kukusema sana vibaya, kwa vitu ambavyo wao wenyewe huvifanya kisirisiri
SawaBinadamu wanaweza kukusema sana vibaya, kwa vitu ambavyo wao wenyewe huvifanya kisirisiri
📌📌Always remember, you are living a life which few people dream of living. Never regret your life.
SawaAlways remember, you are living a life which few people dream of living. Never regret your life.
Hisia zetu...Muda mwingine kwenye maisha huwa tunahitaji mtu mmoja tu wa kuwa na sisi, wa kutusikiliza lakini pia wa kutuelewa hisia zetu...
👍👍Ikawe siku njema yenye baraka na mafanikio tele kwako
SawasawaUsi sahau unapo pendana na mtu basi ujue na yeye ni binadamu, acha kutafuta aliye kamili kwenye kila jambo, huta mpata
📌📌Muda mwingine kwenye maisha huwa tunahitaji mtu mmoja tu wa kuwa na sisi, wa kutusikiliza lakini pia wa kutuelewa hisia zetu...