Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,776
- 257,882
Daktari Dia anasema kuwa kuketi kwa muda mrefu huathiri mwendo wa damu. "Kile ambacho mara nyingi husingizia kwa kutofanya mazoezi ni muda ama wakati. Hata hivyo, ni muhimu kutenga muda wa kufanya mazoezi ili usihatarishe maisha yako." Anamaliza kueleza.