cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Mzuri Mie mambo?
Naona unakazana kunipa ID sizizo zangu, sasa unataka nikureport.
Jiheshimu na ukome kuni quote kwenye upuuzi wako au chochote kingine.
Mzuri Mie mambo?
Punguza ukali wa maneno [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona unakazana kunipa ID sizizo zangu, sasa unataka nikureport.
Jiheshimu na ukome kuni quote kwenye upuuzi wako au chochote kingine.
Mzuri mie unajua lugha hatari [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama una ngozi yenye kufa na mbaya, usitamani ngozi yenye mikia mirefu na mizuri.
Soon very soon,we are going to see....Ungana na kichwa kuimba mapambio[emoji23] [emoji23]