mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
4hrs ago natoa likes
Yaala weBadala ya bapa mkuu vamia hata msiba ikiwezekana. Pole sana!![]()
Hapana. Ndo unakuwa huru zaidi. Unaupeta! [emoji23][emoji23][emoji23]Ndo mwisho wa uwezo wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Badala ya bapa mkuu vamia hata msiba ikiwezekana. Pole sana!![]()
Coleeeeeee![emoji7] [emoji7] [emoji7]
HahahahaNipo nahubiri faida za kutokuoa,kama alivyo shauri mtume Paulo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
SafiPoa kabisa
Ameeen.Mapenzi yake yapate kutimia.(Na mimi ni binadamu,Nina moyo wa nyama.Kuachwa kunachosha sana)[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Ni kawaida. Akiachwa huwa anaimba gospo vizuri sana. Bila shaka Muumba Ana lengo jema na maisha yake! [emoji23][emoji23][emoji23]
Haki ya Mola wangu walahiColeeeeeee!
Faida za kutokuoa utazijuaje wakati wewe HUOA na kuachika?Nipo nahubiri faida za kutokuoa,kama alivyo shauri mtume Paulo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole sanaAmeeen.Mapenzi yake yapate kutimia.(Na mimi ni binadamu,Nina moyo wa nyama.Kuachwa kunachosha sana)[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Sema Bro. LG eeh!?My love[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji172] [emoji172] [emoji171]
We mzee ww daahKumbe jike shupaa (baada ya kumkosa)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sema na wewe carba mambo yako,toka day one nilivyokuona moyo ulishtukaaa,mapigo ya moyo yakaanza kuharakisha ili nikutamkie kauli...sema aibu ndio huwa inaniharibiaga.Hata ukitaka kunianza,sijui kukataa mimi...
Na ambao hatusafiri tubofye wapi? Kwema mkuu?Kwa usafiri wa treni bofya hapa
Kafanyaje tena shemeji?Coleeeeeee!
Cheka sana,maisha ni kama mdundo wakuchezea watoto.Leo kwangu hata kesho haitafika itakuwa zamu yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] ...