[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ameeen.Mapenzi yake yapate kutimia.(Na mimi ni binadamu,Nina moyo wa nyama.Kuachwa kunachosha sana)[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Hivi ilikuwaje mpaka kikaitwa chuma cha pua?Chuma cha pua
Na ambao mmekita kambi, bofya hapaNa ambao hatusafiri tubofye wapi? Kwema mkuu?
Yatima adekiSaidia Yatima
ChildDestiny
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Yaaani wengine ni mikopa kopa tuuu,yaani nyie ni kupeana mikopa mwanzo mwisho!!!! Haya buana,lakini yana mwisho hayoooMy love[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji172] [emoji172] [emoji171]
Kama Uzi wetu pendwaUraibu
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dooooh!ikifika zamu yangu ntajisogeza kwako[emoji125] [emoji125] [emoji125]Cheka sana,maisha ni kama mdundo wakuchezea watoto.Leo kwangu hata kesho haitafika itakuwa zamu yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]