Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 13,075
- 38,625
asante sana nawe usiku mwema na wakati mwema kwako.Uwe usiku wenye amani na utulivu 🙏 🤲
asante sana nawe usiku mwema na wakati mwema kwako.Uwe usiku wenye amani na utulivu 🙏 🤲
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
AminUwe usiku wenye amani na utulivu 🙏 🤲
🙏Usiku mwema wakusoma na waalimu wenu, maandalizi ya kesho
🙏Usiku mwema mamalishe wote
🙏Usiku mwema walezi wa familia zetu
AminUsiku mwema wakulima wafugaji wavuvi na wamachinga, kesho nayo siku
🙏Usiku mwema mliokuwa sokoni dukani saluni gengeni na hotelini maandalizi ya kesho
🙏Usiku mwema mliokuwa maofisini leo, kesho nayo siku
🙏Usiku mwema mliokuwa safarini leo
🙏Usiku mwema mliokuwa kwenye daladala na bajaji na bodaboda na kwenye vivuko..
AminMungu atupe afya na uzima 🤲 🙏
AminMungu awaponye wagonjwa 🤲 🙏