Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 13,075
- 38,625
asante sana nawe usiku mwema na wakati mwema kwako.Uwe usiku wenye amani na utulivu π π€²
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
AminUwe usiku wenye amani na utulivu π π€²
πUsiku mwema wakusoma na waalimu wenu, maandalizi ya kesho
πUsiku mwema mamalishe wote
πUsiku mwema walezi wa familia zetu
AminUsiku mwema wakulima wafugaji wavuvi na wamachinga, kesho nayo siku
πUsiku mwema mliokuwa sokoni dukani saluni gengeni na hotelini maandalizi ya kesho
πUsiku mwema mliokuwa maofisini leo, kesho nayo siku
πUsiku mwema mliokuwa safarini leo
πUsiku mwema mliokuwa kwenye daladala na bajaji na bodaboda na kwenye vivuko..
AminMungu atupe afya na uzima π€² π
AminMungu awaponye wagonjwa π€² π