carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji5] [emoji5]huyu mrembo mambo anayonipa aisee I don't see myself popote
Na kwako piaNawatakia usiku mwema wapendwa
Na wewe piaNawatakia usiku mwema wapendwa
Sema shilawadu wa Masaki. Pakikushinda rudi tu Uswahilini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shilawadu
Huyu ndo aliyeenda kumkumbatia Rooney watu hawataki kupitwa
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
[emoji124] [emoji124] [emoji124]Mama naomba usimjibu mtu,unaumwa,sawa? Kwani wale ng'ombe kumi ulio wataja walikuwa wa nini mama? Tusifukue makaburi mama,lalaaaa
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Yaani anaimba anagaragara chini hadi huruma,yaani imempanda ni hakuna.Maisha bila ndoa ni utumwa jamani!!!!!Kichwa nasikia anaimba pambio
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Bro vipi? Mambo gani hayo unapewa na Carba? Tujuzane bro [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
HahahahahahaWabongo utawaweza wewe?
HahahahahaNipo. Masaki kwema? Au ulishafurushwa baada ya kushindwa kutamka AMUN RA sawasawa?
Na mwanamke Mwenye hips kama wemaSijaona wanaume wenye furaha kama hawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata wewe elezea,eheeee.....[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hongera bro. Kule ulisotea penzi sana. Yaani ulishusha paraboz mpaka nikawa nakuhurumia. Fidia maumivu yale mkuu na mtunze sana shemeji!Bro yaani mahaba nimengi sana hapa ninang'aa tu.sometimes najiulizaga nilikuwaga wapi
Abeeeeh[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] carba...
Tupo makao makuu ya nchi hapa kabaridi kama cha A town kwa mbaliNipo. Masaki kwema? Au ulishafurushwa baada ya kushindwa kutamka AMUN RA sawasawa?
Duh!Kwa nigazz huko na kwenye urban slang za mtandaoni Thot inamaanisha "That Hoe Over There"...[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Wewee[emoji23] [emoji23]Akitishika kwisha habari yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Kila mtu anajiita muhengaInsta face book whatsapp JF ni muhenga tu sijui ndio wamefufuka
[emoji23] [emoji23] wabongo bhana