andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Mama naomba usimjibu mtu,unaumwa,sawa? Kwani wale ng'ombe kumi ulio wataja walikuwa wa nini mama? Tusifukue makaburi mama,lalaaaaMweh, nilikuwa nimechukuliwa na nani jmn?
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app