Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

65a31be2b0899a62623aac4cffa2b731.jpg

Ni yule muhenga aliyesema "Jungu kuu halikosi ukoko".

Aisee magu anajua kunyoosha watu, huu msosi juzi juzi nilinunuaga kwa 35,000... leo msosi ule ule nimeuziwa kwa 15,000. Hoteli hazina wateja tena.
Hahahahahaha
 
Ule msemo wanaosema "fuata nyuki ule asali"mbona ka unapishana na huu?naomba ufafanuzi kama hautojali
Methali hizi zinabadilika badilika kulingana na mabadiliko katika jamii. Kwa mfano, kama unawaonya vijana kuhusu janga la UKIMWI sidhani kama utawaambia fuata nyuki ule asali. Pengine utasema kama alivyosema Coco hapa. Au...Fuata nyuki urudi na manundu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! Nyuki ni hatari hasa usipokuwa na dhana sahihi za kuwakabili japo pia inategemea na aina ya nyuki. Kuna hawa wa kisasa hawa wako docile wala hawaumi....na asali yao inasemekana siyo tamu kivile na haina thamani sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Methali hizi zinabadilika badilika kulingana na mabadiliko katika jamii. Kwa mfano, kama unawaonya vijana kuhusu janga la UKIMWI sidhani kama utawaambia fuata nyuki ule asali. Pengine utasema kama alivyosema Coco hapa. Au...Fuata nyuki urudi na manundu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! Nyuki ni hatari hasa usipokuwa na dhana sahihi za kuwakabili japo pia inategemea na aina ya nyuki. Kuna hawa wa kisasa hawa wako docile wala hawaumi....
[emoji120] [emoji120]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dooooh!ikifika zamu yangu ntajisogeza kwako[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Walaaaaa....sina ubaya na mtu mimi.Hata baadae njoo,huyo anakuganda ana hisa zote juu yako?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom