andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Nimesema nitafuatilia historia, ili nijue kama naachwa au naachaHivi unaacha?unaachwa?au una kimbiwa?[emoji125] [emoji125]
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Nimesema nitafuatilia historia, ili nijue kama naachwa au naachaHivi unaacha?unaachwa?au una kimbiwa?[emoji125] [emoji125]
AMUN RAMwenye Enzi Mungu !
Acha majukwaa yaendelee hivi hivi tu,Hata kutaniana kusingekuwepo kabisa.
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Si ukuje basiii[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23] [emoji23] ongeza jibapa nakuja kulipa mana unanifurahisha kweli
Sawa nasubiri majibuNimesema nitafuatilia historia, ili nijue kama naachwa au naacha
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi unaacha?unaachwa?au una kimbiwa?[emoji125] [emoji125]
AMUN RA6:33
AMUN RA
UNIVERSE TAKE CONTROL
Maneno ya msalabani tena? Mh!!!Nashukuru kwa uwepo wako dada.Kuna watu wanafurahi kushindwa kwangu.Hakika nakutamkia yale maneno ya pale msalabani kwa yule mwingine aliye mhurumia Bwana,ila siyakumbuki,ukiyakumbuka jiambie mwenyewe kwa niaba yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mtu mwema ambaye hajawahi onekana karne moja iliyopita.Walaaaaa....sina ubaya na mtu mimi.Hata baadae njoo,huyo anakuganda ana hisa zote juu yako?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ushaagiza?[emoji23] [emoji23]Si ukuje basiii[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Kweli wahini si watu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Eeeeeeeee!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hata weweEt umesemaaaa??[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Loh! Watu bhana mbona mm na andjul hatujaachana. Sema haka ka homa tu ndio kananipeleka sanaPole sana. Pia umezushiwa eti umeolewa na mwanaume mpya na umemtosa Andjul. Ni kweli? Kama ni kweli mbona mahari wanaukoo hatujapata?
Pole sana na hiyo homa. Quick recovery bageshi!
Waambie hatujaachana, na nimerudi sasaNimesema nitafuatilia historia, ili nijue kama naachwa au naacha
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
HatujaachanaSawa nasubiri majibu
MnhuuMaisha ni safari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
![]()
Mzee bora ulewe tu stress ulizo nazo ni nyingi sanaCole ndio nani[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34]