Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Yaani anavyo dhani twaweza achana mm ndo nakupenda Sana..[emoji173] [emoji172] [emoji173] [emoji171]We muite tu utamuona[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa mkuu,najua baada ya kuzunguka bucha zoooote,kwa carba umefunga breki,yaani nyama imenona.Kwamba imenona kweli kweli sio ndiyo??? Kwamba wengine hatuitamani hiyo kuionja kisa mamikopa kopa yako eeeee? Jiangalie sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tutafanyaje ss andjul tunaishi Mara moja wacha tupendane na mpenz wangu
Huu....huu...uta...utafiti...utawafanya....wa...watu...watu...wa...kama yule wa humu....Mhhhh kuna kaukweli hapo
Hebu rudi hapaaa.Sema kama situmii lugha ngumu[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nahisi nisingekuwepo ungesiliba weee pole we mzee subiri wageni TuWalaaaaa....sina ubaya na mtu mimi.Hata baadae njoo,huyo anakuganda ana hisa zote juu yako?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole sanaNawamis sana, siku mbili hz nimekuwa nasumbuliwa na homa ndio maana naingia humu kwa kusua sua sana
Huko uendako naona mafanikio yanakufuata.Wasi wasi wa nini mdogo wangu,mimi mwendo wangu wa chatu,ni kutambaa tu.Vijana vichwa vyenu viko juu muda wote utadhani kobra,nitawaweza???? Hapo unashituka baya liko wapi?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ohoooooo!!!! Mzee wa ikwiriri [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Cole williams
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hata kama kimeisha upande upande?Baniani mbaya, kiatu chake dawa.
Amen[emoji120] [emoji120] [emoji120] akapate kupona harakaPole sana ugua upone,mungu akufanyie wepesi upone haraka...
Duh.Acha majukwaa yaendelee hivi hivi tu,
Ndo raha kwani waeza kuwa na mtu wako wa humu kumbe nduguyo!
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hebu nyamaza huko,nsamaka anaumwa,vizuri ametamka yeye,mimi sikuwa na mamlaka ya kutangaza.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] me nimeuliza tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nijibu basi
Thank youPole sana
Nini tena?Hebu nyamaza huko,nsamaka anaumwa,vizuri ametamka yeye,mimi sikuwa na mamlaka ya kutangaza.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Mkuu nina roho nyeupe kama theruji.Mtu mwema ambaye hajawahi onekana karne moja iliyopita.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app