Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,776
- 257,882
Sawa, kazi nzuri kama watafanikiwaManchester United wanamyatia beki wa Everton mwenye umri wa miaka 21 Jarrad Branthwaite, ambaye thamani yake ni kati ya pauni milioni 60-70. (Sky Sports)
Chalsea Hawatakubali kuruhusu mtambo wao kuzalisha ushindi uondokeAston Villa wanavutiwa na kiungo wa kati wa Chelsea na Muingereza Conor Gallagher, 24. (Independent)
Safi sana, bwa mdogo huwa anaziba vizuri sana pengo la Trent Alexander ArnoldLiverpool wanapanga kumpa mlinzi wa Ireland Kaskazini Conor Bradley, 20, mkataba mpya ulioboreshwa. (Mazungumzo ya Timu)
Kila la kheri kwa mdachi NiselrooyMshambuliaji wa zamani wa Manchester United Ruud van Nistelrooy, 47, anagombea nafasi ya mkufunzi wa Leicester. (Mirror)
Anastahili kuongezwa pesa, maana kazi yake imeonekanaMkufunzi wa Arsenal Mikel Arteta yuko kwenye mazungumzo ya ngazi ya juu kuhusu kandarasi mpya ambayo itamfanya awe mmoja wa makocha wanaolipwa pesa nyingi zaidi kwenye Ligi Kuu. (Mail)
Binadamu wenzetu wako vizuri sana kuliko sisi.