Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Miaka 39 ya kuwapoteza mashabiki 39 wa soka kwenye uwanja wa Heysel Ubelgiji mwaka 1986.
Siku hiyo ilichezwa mechi ya fainali za UEFA Champion League Juventus Turin vs Liverpool
Screenshot_20240530-211743_WhatsApp.jpg
 
Kumbukumbu ya miaka 39 ya Janga la Heysel Ubelgiji.
Janga hilo lilitokea kwenye mechi ya fainali za UCL 29 05 1985.
Juventus dhidi ya Liverpool.
Mashabiki 39 wa soka walifariki baada ya vurugu kubwa zilizoanzishwa na mashabiki wa Liverpool muda mchache kabla ya mechi hiyo haijaanza. Watu 600 walijeruhiwa.
Wengi kati mashabiki waliofariki ni wataliano.
Hata hivyo mechi hiyo ilichezwa na Juventus ilishinda goli 1-0.
Anayeweka shada la maua ni Kenny Dalglish wa Liverpool ambaye alicheza mechi hiyo

1751.jpg
 
Back
Top Bottom