Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kumbukumbu ya miaka 39 ya Janga la Heysel Ubelgiji.
Janga hilo lilitokea kwenye mechi ya fainali za UCL 29 05 1985.
Juventus dhidi ya Liverpool.
Mashabiki 39 wa soka walifariki baada ya vurugu kubwa zilizoanzishwa na mashabiki wa Liverpool muda mchache kabla ya mechi hiyo haijaanza. Watu 600 walijeruhiwa.
Wengi kati mashabiki waliofariki ni wataliano.
Hata hivyo mechi hiyo ilichezwa na Juventus ilishinda goli 1-0.
Anayeweka shada la maua ni Kenny Dalglish wa Liverpool ambaye alicheza mechi hiyo

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…