Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
✔️Mwenyezi Mungu abariki hatua za mahangaiko yetu katika kutafta mkate wetu wa kila siku.
✔️✔️Ngazi iliyovunjika inakufanya upande hatua mbili kwa mara moja. Siku zote kwenye maisha vikwazo ni muhimu
✔️✔️✔️Duniani wamejaa watu wema. Ikiwa huwezi kumpata yeyote, basi wewe kuwa miongoni mwa watu wema.
✔️✔️Duniani wamejaa watu wema. Ikiwa huwezi kumpata yeyote, basi wewe kuwa miongoni mwa watu wema.
👍Mwenyezi Mungu abariki hatua za mahangaiko yetu katika kutafta mkate wetu wa kila siku.
SawaSulaiman Aliyu, mfamasia katika Hospitali ya mafunzo ya Ahmadu Bello huko Zaria, katika jimbo la Kaduna, anaameiambia BBC taratibu za kuwazika mahujaji wanaofariki wakati wa Hijja.
🙏🙏Usishughulishwe na Neema ukamsahau aliyekuneemesha.Asante MUNGU kwa Upendo wako mkuu
🙏Usishughulishwe na Neema ukamsahau aliyekuneemesha.Asante MUNGU kwa Upendo wako mkuu
🙏🙏Usishughulishwe na Neema ukamsahau aliyekuneemesha.Asante MUNGU kwa Upendo wako mkuu
🙏🙏🙏Kuna Mtu amelazwa Hospital sasahivi akimwomba MUNGU ampe pumzi aendelee kuishi,Nafasi ya maisha uliyonayo sasa ithamini na itumie kwa Busara
SawaKuna Mtu amelazwa Hospital sasahivi akimwomba MUNGU ampe pumzi aendelee kuishi,Nafasi ya maisha uliyonayo sasa ithamini na itumie kwa Busara
👍👍Takriban watu milioni mbili hufanya ibada ya Hija nchini Saudi Arabia kila mwaka.
SawaLakini Muislamu anaweza kufanya hivyo kwa sharti tu kwamba kutokuwepo kwake kusilete matatizo kwa familia yake.
AiseeAnasema: "Kwanza kabisa, yote inategemea mahali ambapo mhujaji alifariki. Huenda huenda akafariki katika hospitali au zahanati ya Nigeria, kwa vile NAHCON (Tume ya Kitaifa ya Hija ya Nigeria) ina kliniki yake katika nchi takatifu, au anaweza kufia katika chumba chake cha hoteli.
SawasawaHijja ni nguzo ya tano ya Uislamu. Ni wajibu kwa Waislamu wote wenye uwezo wa kimaumbile na kifedha kuhiji.
AiseeIwapo msafiri atafariki hospitalini, wakuu wa hospitali huandaa ripoti na kuipeleka kwa Tume ya Hija ya Nigeria, kisha NAHCON hufahamisha serikali kuwajulisha kilichotokea, kisha huipeleka ripoti hiyo kwa usalama wa Saudia kama pamoja na Wizara ya Afya ya Saudia na serikali ya Saudia.
SawaKwenye makaburi, imamu huwaongoza watu kuswali swala ya mazishi au Salat al-Janaza, kisha humzika mhujaji aliyekufa," anaeleza.
SawasawaZaidi ya hayo, Imam Tajudeen anaeleza kuwa utaratibu wa mazishi hauna tofauti na jinsi Mwislamu anavyozikwa katika sehemu yoyote ile ya dunia.