myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sawa kabisaHii ni kuhakikisha taratibu zote zimefuatwa na wahusika wote wanashirikishwa kabla ya kuendelea na mazishi.
AiseeBill Gate's Mysterious $145M Home in Washington Called "Xanadu 2.0" has some stunningly enthusiastic features . Fitting for a software genius like Bill, the advanced tech used in this home is excitingly impressive. Extensively Spanning 66,000 sq. ft. in Medina, Washington, it took a whopping 7 years to build Xanadu, which also serves as his primary residence. Guests can change the artwork on the walls at the touch of the interior wall. The walls are just like a touchscreen. The estate features a 60-foot pool with an underwater music system and an artificial stream stocked with fish. Bill Gates' favorite 40-year-old maple tree is electronically monitored and watered 24 hours a day. Additionally, the estate includes a trampoline room with a 20-foot ceiling. The mansion is an "earth-sheltered" house, utilizing its natural surroundings to regulate temperature efficiently and reduce heat loss. The word "Xanadu" means opulent/luxurious place, and Bill has indeed created his personal paradise here.
Life is worth living in this surroundings..View attachment 3004678
πβοΈMnamo mwaka wa 2015, wakati zaidi ya mahujaji 2,000 walipofariki katika mkanyagano uliotokea Mina, mamlaka ya Saudia ilisema walikuwa wametayarisha makaburi ya kutosha katika maeneo ya makaburi sita ili kuwazika waathiriwa.
βοΈβοΈπBaadhi ya makaburi yanayojulikana zaidi ni pamoja na Jannat Al-Mala huko Makka, Jannat Al-Baqi huko Madina, Makaburi ya Al-Adl, Makaburi ya Mashahidi wa Al-Haram, Makaburi ya Al-Rabway na Makaburi ya 'Arafat.
ππβοΈImam Nurudeen wa Anoda, ambaye amekwenda kushiriki ibada ya Hija mara kadhaa, ameiambia BBC Idhaa ya Pidgin kwamba kuna makaburi kadhaa ambapo mahujaji wanaofariki wakati wa Hija wanaweza kuzikwa.
SawasawaHaiwezekani kurudisha mwili wa mhujaji aliyekufa ndani ya saa 24, kwa hiyo tunauzika ndani ya siku moja katika ardhi ya Saudia," anaelezea Haruna.
Sawa kabisaZaidi ya hayo, Uislamu unaagiza kwamba ni vizuri kuwazika watu waliokufa haraka iwezekanavyo baada ya kifo chao, kwa kawaida Muislamu aliyefariki huzikwa ndani ya saa 24 baada ya kifo.
SawaKwa kweli, ni fursa nzuri kufariki katika nchi takatifu. Hata wazazi wa marehemu, ingawa wanahisi uchungu juu ya kifo cha mpendwa wao, wanakubali maumivu haya kutokana na imani kwamba ni baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
βοΈβοΈπHijja ni mojawapo ya nguzo muhimu za Uislamu. Ni moja ya nguzo tano za dini na ni wajibu kwa kila mtu ambaye ana uwezo wa kuhiji kufanya hivyo angalau moja katika maisha yake.
Nakubali piaKwa ujumla, Waislamu hupendelea kuwazika ndugu zao waliofariki katika makaburi ya karibu ili waweze kuwatembelea na kuwaombea dua. Mara nyingi, linapokuja suala la watu wanaofariki mbali na nyumbani, wapendwa wao hutumia gharama nyingi ili tu kurejesha mwili wa mpendwa wao kwa mazishi.
Nakubali hili piaKwa ujumla, Waislamu hupendelea kuwazika ndugu zao waliofariki katika makaburi ya karibu ili waweze kuwatembelea na kuwaombea dua. Mara nyingi, linapokuja suala la watu wanaofariki mbali na nyumbani, wapendwa wao hutumia gharama nyingi ili tu kurejesha mwili wa mpendwa wao kwa mazishi.
βοΈπβοΈMara nyingi, baadhi ya watu wanaofanya safari hii hawarudi wakiwa hai, baadhi yao hufariki kwa sababu moja au nyingine.
SawaKila mwaka wakati huu, mamilioni ya Waislamu kutoka duniani kote husafiri hadi Makka, Saudi Arabia, mahali patakatifu zaidi katika Uislamu, kufanya sherehe hii takatifu.
DuhView attachment 3004669
Hii inafikirisha sana hata mabaki hayajaoneka mpka leo
AiseeView attachment 3004663
Wamechoka kuishi Kila mission ya kwenda kuona mabaki ya titanic ni majanga Kwa nn wanalazisha kwenda huko