myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
βοΈβοΈβοΈ
βοΈPia nilipewa dawa za kufanya hedhi kukoma ili kulinda mayai ya uzazi yasiathirike kutokana na tiba ya kemikali.
Na ikiwa mayai yangu ya uzazi hayatafufuka huenda nikapoteza uwezo wangu wa kuuza.
βοΈβοΈHabari za asbh Kilimanjaro
βοΈβοΈβοΈHabari za asbh Manyara
πKwa sasa hivi, pia najitahidi kutojiangalia kwenye kioo.
Lakini licha ya hayo yote kila ninapomuangalia mtoto wangu, huwa najiona mwenye bahati pamoja na jamii inayonizunguka ambayo imekuwa ikinipa msaada wa kipekee kwa kuniunga mkono.
ππLakini kinachonipa hamasa zaidi ni kufanya watu wahisi vizuri na ngozi zao. Hivyo basi kupoteza nywele nyusi zangu kumekuwa mapito magumu sana.
βοΈβοΈβοΈNilimaliza matibabu ya kemikali hivi karibuni na sasa naendelea kupata afueni nyumbani.
Niliarifiwa ratiba yangu ya matibabu baada ya mtoto kuzaliwa na kufahamishwa kuwa sitaweza tena kumnyonyesha.
πππBinti yangu, Brodie- Rey alizaliwa mapema kwa wiki tatu kupitia maji ua uchungu na pia nilifanikiwa kumnyonyesha mara moja tu.
Lakini siku ya pili madaktari walinipa matibabu ya kuzuia maziwa kutoka na sikuweza tena kumnyonyesha baada ya hapo.
πBaada ya kuona kuna kitu ambacho hakiko sawa, wakaamua kupiga picha mkono wangu wote pamoja na sehemu yake ya chini
Wakati huo nikiwa na ujauzito wa miezi 35, nikabaini kwamba nina saratani ya matiti.
Nilipata na mshtuko kweli.
ππLakini baada ya wiki tano uvimbe huo ulikuwa umetanda hadi eneo zima la titi.
Ukawa unakua kweli na kulazimika kumuona daktari tena.
ππAlinipa ushauri wa kuweka majani ya kabeji la baridi kifuani na kusema kuwa uvimbe umesababishwa na mabadiliko ya homoni kutokana na ujauzito.
Nikaondoka nikiwa nimeamini ushauri wa mtaalamu wangu.
πππBaada ya siku chache nikaamua kumuona Lakini bahati mbaya kwasababu ya Covid-19 nilipoenda hospitali daktati alikuwa amevaa mavazi rasmi ya kujikinga na ikawa vigumu kwake kunifanyia vipimo kimamilifu.
βοΈπSio tu kwamba mimi ni mama niliyepata mtoto karibuni ninayepigana na hisa zangu za kutaka kuwa vile nilivyokuwa kabla ya kuwa mjamzito, lakini sasa hivi mengi yamebadilika maishani mwangu.
βοΈπβοΈKwanza kabisa niliona uvimbe mnamo mwezi Mei nilipokuwa ninaoga. Kisha ukawa uko tu na hapo ndio nilipoanza kujiuliza maswali.