myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
👍👍✔️Nilikuwa najihusisha na mambo ya urembo hadi hivi majuzi nilipolazimika kufunga kwa sababu imekuwa vigumu sana kijisimamia.
👍👍✔️Nilikuwa najihusisha na mambo ya urembo hadi hivi majuzi nilipolazimika kufunga kwa sababu imekuwa vigumu sana kijisimamia.
✔️✔️👍Awamu ya pili ya matibabu ya 'chemo', nilipoteza kope na nyusi zangu na hiyo imekuwa changamoto kubwa zangu.
✔️👍✔️✔️Emmy mwenye umri wa miaka 29, amebobea kwa mambo ya urembo.
Alipatikana na saratani ya matiti akiwa mjamzito na amekuwa akishirikisha wengine changamoto anazopitia katika safari yake akiwa na matumaini ya kusaidia kina mama wengine vijana wanaopitia ugonjwa kama huo hadi kipindi cha kujifungua.
✔️✔️
✔️✔️✔️Kumbukumbu ya miaka 39 ya Janga la Heysel Ubelgiji.
Janga hilo lilitokea kwenye mechi ya fainali za UCL 29 05 1985.
Juventus dhidi ya Liverpool.
Mashabiki 39 wa soka walifariki baada ya vurugu kubwa zilizoanzishwa na mashabiki wa Liverpool muda mchache kabla ya mechi hiyo haijaanza. Watu 600 walijeruhiwa.
Wengi kati mashabiki waliofariki ni wataliano.
Hata hivyo mechi hiyo ilichezwa na Juventus ilishinda goli 1-0.
Anayeweka shada la maua ni Kenny Dalglish wa Liverpool ambaye alicheza mechi hiyo
View attachment 3004241
AiseeMiaka 39 ya kuwapoteza mashabiki 39 wa soka kwenye uwanja wa Heysel Ubelgiji mwaka 1986.
Siku hiyo ilichezwa mechi ya fainali za UEFA Champion League Juventus Turin vs Liverpool
View attachment 3004215
Wanacho nifurahisha kila wanaposikia kuna hatari wanapanga mission nyingine.View attachment 3004663
Wamechoka kuishi Kila mission ya kwenda kuona mabaki ya titanic ni majanga Kwa nn wanalazisha kwenda huko
🤣🤣Mzee anaburudika kuangalia buno la mdadaMzee kauzu kweliView attachment 3004673