Mwanangu Dunia haijawahi kuwa tamu kwa Mnyonge,Magumu ya maisha hayapaswi kukufanya ukate tamaa,Ukubwa ni pamoja na kutambua kuwa hakuna yeyote atakaekuja kukutia moyo kwenye Mazito ya Maisha yako.

Vumilia kwa yale unayopitia hata kama unaumia,Giza haliwezi kutanda milele Jua litachomoza na Nuru mpya itaangaza,MUNGU anawapenda sana walio na SUBIRA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.