Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukiona umepewa kisu cha kuamua hatma ya rizki ya mwingine kwenye maisha, kataa hicho kisu au bora jikate wewe hicho kisu

Bora maumivu yako utavumilia kuliko maumivu ya kumchoma mwingine, ogopa sana neno MAMLAKA ni koti zuri sana ila halipendezi ukilivaa vibaya
 
Wakati bado unatafuta jitahidi sana kuishi maisha ya LEVEL yako uliyonayo. Panga bajeti zako vizuri na hakikisha hautoki nje kwenda kukopa mpaka pale inapobidi. Usitamani maisha ya walio juu yako bali ongeza bidii kwenye unachofanya ili baadae uwe kama wao.
 
Back
Top Bottom