myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
🙏🙏Hatuna namna, Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa majaaliwa yake
📌Lakini hapendi kuzungumzia juu ya "uzoefu wake mbaya ." Hauna maana sasa kwake.
Kile kinachomtia moyo ni kwamba hali yake inawafanya watu wamtazame na juhudi zinafanywa kutafuta tiba ambayo itapunguza athari zake.
📌Kwasababu ugonjwa umenifanya niwe na upungufu wa damu, nilihitaji kuongezewa damu kila baada ya siku 15. Nilikuwa ninaongezewa damu kila mara nilipokuwa mtoto.
Nilikuwa nikiamka asubuhi na kugundua kuwa nina vidonda vipya.
📌📌Kwasababu ugonjwa umenifanya niwe na upungufu wa damu, nilihitaji kuongezewa damu kila baada ya siku 15. Nilikuwa ninaongezewa damu kila mara nilipokuwa mtoto.
Nilikuwa nikiamka asubuhi na kugundua kuwa nina vidonda vipya.
📌📌📌Kwasababu ugonjwa umenifanya niwe na upungufu wa damu, nilihitaji kuongezewa damu kila baada ya siku 15. Nilikuwa ninaongezewa damu kila mara nilipokuwa mtoto.
Nilikuwa nikiamka asubuhi na kugundua kuwa nina vidonda vipya.
✔️Kile ambacho kilijulikana tu ni ni kwamba ulikuwa ugonjwa mbaya sana kwa hiyo maisha yangu yasingeendelea kuwa ya kawaida.
Niliambiwa nijaribu nisijiumize kwa namna yoyote ile, na kwamba nisipigwe na jua .
✔️✔️Lakini hapendi kuzungumzia juu ya "uzoefu wake mbaya ." Hauna maana sasa kwake.
Kile kinachomtia moyo ni kwamba hali yake inawafanya watu wamtazame na juhudi zinafanywa kutafuta tiba ambayo itapunguza athari zake.
✔️✔️✔️Kile ambacho kilijulikana tu ni ni kwamba ulikuwa ugonjwa mbaya sana kwa hiyo maisha yangu yasingeendelea kuwa ya kawaida.
Niliambiwa nijaribu nisijiumize kwa namna yoyote ile, na kwamba nisipigwe na jua .
✔️✔️✔️Kile ambacho kilijulikana tu ni ni kwamba ulikuwa ugonjwa mbaya sana kwa hiyo maisha yangu yasingeendelea kuwa ya kawaida.
Niliambiwa nijaribu nisijiumize kwa namna yoyote ile, na kwamba nisipigwe na jua .
👍Ni ugonjwa unaoharibu sana mwili
Husababisha uharibifu wa figo, upungufu wa damu (anemia), na huharibu ngozi ya mwili.
AiseeWazazi wangu walinipeleka kwa daktari, lakini wakati ule kulikuwa na taarifa chache.
Walichoniambia tu ni jina la ugonjwa.
Hapakuwa na tiba - na wala hata sasa haipo- na haijafahamika ni viti inaweza kupatikana.