myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
👍👍Wazazi wangu walinipeleka kwa daktari, lakini wakati ule kulikuwa na taarifa chache.
Walichoniambia tu ni jina la ugonjwa.
Hapakuwa na tiba - na wala hata sasa haipo- na haijafahamika ni viti inaweza kupatikana.
👍✔️Ni ugonjwa unaoharibu sana mwili
Husababisha uharibifu wa figo, upungufu wa damu (anemia), na huharibu ngozi ya mwili.
👍✔️✔️Wazazi wangu walinipeleka kwa daktari, lakini wakati ule kulikuwa na taarifa chache.
Walichoniambia tu ni jina la ugonjwa.
Hapakuwa na tiba - na wala hata sasa haipo- na haijafahamika ni viti inaweza kupatikana.
✔️👍👍Hufanya nyama za mwili kuoza na kudondoka, na hiyo ndio maana wanauita ugonjwa unaokata mwili ama porphyria mutilante .
Mirón ana umri wa miaka 46, hii ni simulizi ya maisha yake.
👍👍✔️Maumivu makamali ya kuvunja moyo, "
"Inaumiza sana
Vidonda hivi vilitokea miezi sita, wakati alipokuwa mtoto mchanga.
✔️👍✔️Hufanya nyama za mwili kuoza na kudondoka, na hiyo ndio maana wanauita ugonjwa unaokata mwili ama porphyria mutilante .
Mirón ana umri wa miaka 46, hii ni simulizi ya maisha yake.
📌Najua sura inaweza kunifanya nikataliwe lakini sijali', masaibu ya kuishi na ugonjwa usio wa kawaida
UjumbeLakini hapendi kuzungumzia juu ya "uzoefu wake mbaya ." Hauna maana sasa kwake.
Kile kinachomtia moyo ni kwamba hali yake inawafanya watu wamtazame na juhudi zinafanywa kutafuta tiba ambayo itapunguza athari zake.
Pia Ujumbe muhimuMjutaji alimtambua Fide katika mahojiano ya habari ambapo alikuwa akielezea mampambano dhidi ya kile kinachofanyika kama maradhi ya Günther.
AiseeMjutaji alimtambua Fide katika mahojiano ya habari ambapo alikuwa akielezea mampambano dhidi ya kile kinachofanyika kama maradhi ya Günther.
📌📌Ulikuwa ni kutoka kwa mmoja wa wale waliokua wakimkejeli, wakiomba msamaha kwa ''utoto'' — kama anavyouelezea sasa-ambao aliufanya alipokuwa katika umri wa barehe.
AiseeUlikuwa ni kutoka kwa mmoja wa wale waliokua wakimkejeli, wakiomba msamaha kwa ''utoto'' — kama anavyouelezea sasa-ambao aliufanya alipokuwa katika umri wa barehe.
SawaUlikuwa ni kutoka kwa mmoja wa wale waliokua wakimkejeli, wakiomba msamaha kwa ''utoto'' — kama anavyouelezea sasa-ambao aliufanya alipokuwa katika umri wa barehe.
AiseeMiaka kumi na mitano baadaye, Fide alipokea ujumbe usio wa kawaida.
📌📌📌Fide Mirón alikuwa na umri wa miaka 18 wakati alipoanza kuhisi kunyanyaswa na kikundi cha vijana wenye wa rika katika mji wa kituo cha treni cha Barcelona.
✅️Walikua wakimuangalia kwa mshangao sura yake, uso wenye makunyanzi yaliyosababishwa congenital erythropoietic porphyria, maradhi nadra ya yanayoushambulia mwili haraka ambayo amelazimika kuishi nayo tangu alipokuwa mtoto mchanga.
✅️✅️Fide Mirón alikuwa na umri wa miaka 18 wakati alipoanza kuhisi kunyanyaswa na kikundi cha vijana wenye wa rika katika mji wa kituo cha treni cha Barcelona.
✅️✅️✅️Walikua wakimuangalia kwa mshangao sura yake, uso wenye makunyanzi yaliyosababishwa congenital erythropoietic porphyria, maradhi nadra ya yanayoushambulia mwili haraka ambayo amelazimika kuishi nayo tangu alipokuwa mtoto mchanga.
AiseeWalimfukuza, wakamchukulia kama kioja au kitu cha kuchezea, anasema