Yeye ni mwanamke mfanyabiashara makini sana na mtayarishaji filamu ambaye amechukua hatamu za kazi yake," Apatow aliambia The New York Times miaka michache iliyopita.
Jina lake lilianza kujulikana miongoni mwa umma wakati mwaka wa 2018 alipofanya mahojiano na kipindi cha televisheni cha CBS cha 60 Minutes, ambapo alitoa maelezo ya madai yake ya ngono na Trump.
Haya ni maelezo yale yale ambayo aliyarudia Mei 7 alipochukua msimamo kwa mara ya kwanza wa kutoa ushahidi katika kile kilichokuwa kikitarajiwa sana katika kesi ya Trump.
Mbele ya jopo la mahakama, rais wa zamani na waendesha mashtaka, muigizaji huyo alisema alikutana na Trump katika hoteli katika Ziwa Tahoe mwaka 2006 .
Jielimishe kuhusu mambo. Jifunze kwa bidii kile ambacho kinakuvutia zaidi. Usijali kuhusu wengine wanafikiria nini juu yako, hiyo sio kazi yako. Zoeza akili yako kufikiria, shaka, na kuhoji. Ndivyo unavyokua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.