myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Beautiful siteHuu uzi ni sawa na hichi kibubu a.k.a kibobo kwa likes zinazomwagwaView attachment 541459
Cole mwimba nyimbo tu huyo. Watoto kama carba matumizi yake anatakiwa atengenezewe ka trading account. Hatakiwi kuonekana kwenye P&L account, Cole atayaweza hayo??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Cole Bro...Usikae mbali sana. Mijibaba ya hapa ni super predators bro. Usipokaa macho wanaweza kukurudisha kwenye paraboz ohooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maneno hubadilika kama kinyonga[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hana haja na kuwa na wasiwasi na huyu mzee,jana alisema mwanamke mzuri ni konyagi[emoji23] [emoji23]
Rekodi ipi? Na hiyo rekodi sasa hivi inashikiliwa na uzi upi?Huu uzi lazima uvunje rekodi.
Mark my word!
Uza huo mchina utakutesa sana 😀😀Mbona sipati notification!
Kulikoni wadau?
Makapuku Forum.Re
Rekodi ipi? Na hiyo rekodi sasa hivi inashikiliwa na uzi upi?
Cherie kwema?Ambition
Wapi bana, mi hapa niko kwa mwendo wa 3G kama kawaidaUza huo mchina utakutesa sana 😀😀
Mbona umejibu kama wewe ni muhenga ... take it easy ma'am....life is too short .... We enjoy every minute of it.Jiheshimu bwana mdogo wewe shaaaaaaaaaa
Kiroja ukichoandika eeeeeh
Hapa mtoto nipo nae kisses nyingi aisee ni rahaCole mwimba nyimbo tu huyo. Watoto kama carba matumizi yake anatakiwa atengenezewe ka trading account. Hatakiwi kuonekana kwenye P&L account, Cole atayaweza hayo??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Namba mpya ya Lukaku hiyo