carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kichwa yuko wapi jamani?Asavali [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Kichwa yuko wapi jamani?Asavali [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Sasa! Haki ya Mola wangu walahi
Anamuogopa scorpionSasa! Haki ya Mola wangu walahi
HahahahaKuna mtu kamshika mkono rooney kagoma kuuawa mkono wake had saiv... na yeye anashika watu kwa buku
YaalaAnamuogopa scorpion
Tusijisahau na tuvigari tubovu tunato endesha utu,wengine tumetoka huko kuzungusha mayai ya kuchemsha,karanga, sigara,mafuta ya taa,n.k.Leo hii tunasahau na kuwadharau wanaofanya hizo shughuli....Aiseeh!
IndeedHeshima ela
Karibia tena..Missing u sana
Mkuu niajeCc mzee wa liver
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
HahahahaHuu uzi ni sawa na hichi kibubu a.k.a kibobo kwa likes zinazomwagwaView attachment 541459
LikesPost chochote upate likes
Kweli kabisa,kuna watu hawaheshimu kazi za wenzaoTusijisahau na tuvigari tubovu tunato endesha utu,wengine tumetoka huko kuzungusha mayai ya kuchemsha,karanga, sigara,mafuta ya taa,n.k.Leo hii tunasahau na kuwadharau wanaofanya hizo shughuli....