andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Kichwa ameokoka,saa hizi atakuwa kwenye mikutano ya neno la uzima.Kichwa yuko wapi jamani?
Kichwa ameokoka,saa hizi atakuwa kwenye mikutano ya neno la uzima.Kichwa yuko wapi jamani?
Mpira umeisha?mzee wa liver
Everton 2 gor mahia 1
Kazi yoyote ya halali si ya kudharau..huu ni mgawanyo tuKweli kabisa,kuna watu hawaheshimu kazi za wenzao
Ndio mana siku hizi kawa mpole sana humu?Kichwa ameokoka,saa hizi atakuwa kwenye mikutano ya neno la uzima.
Kuna watu hawalijui hilo,wao wakipata wengine hawana thamaniKazi yoyote ya halali si ya kudharau..huu ni mgawanyo tu
Ukikumbwa na msukosuko wa mapenzi,akili ya ziada inaisha.Akili inayo baki in ya kupepelewa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unabaki tu "kwa jina la nani yulee!!,naamuru mke wangu arudi nyumbani sasa,ninapotoka hapa nikamkute nyumbani" unafika nyumbani hayupo,chozi hilooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mara jibapa uko wapiNdio mana siku hizi kawa mpole sana humu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaah!umenichekesha kweliUkikumbwa na msukosuko wa mapenzi,akili ya ziada inaisha.Akili inayo baki in ya kupepelewa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unabaki tu "kwa jina la nani yulee!!,naamuru mke wangu arudi nyumbani sasa,ninapotoka hapa nikamkute nyumbani" unafika nyumbani hayupo,chozi hilooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mara jibapa uko wapi
Hilo pozi hadi natamani nikuite babe[emoji253]
Hatuwezi Wote kuwa madaktari, au waalimu..nk.lazima wawepo wakuuza Karanga na kusafisha viatu.. Tunagawana kazi..nani angefagia au kulima??Kuna watu hawalijui hilo,wao wakipata wengine hawana thamani
HahahahahaISIS ni mhenga anaeongoza kuwa na likes nyingi
HahahahahaISIS ni mhenga anaeongoza kuwa na likes nyingi