myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaMidomo imeubwa kusema.wanasema wanachofikiria hata kama ni uongo lakini watauamini,wataueneza na watakuhukumu kwa uongo wao.
📌📌📌Midomo imeubwa kusema.wanasema wanachofikiria hata kama ni uongo lakini watauamini,wataueneza na watakuhukumu kwa uongo wao.
😁😁Mtu anayekuchukia hata akikukuta unacheza ndani ya maji,atasema unamtimulia vumbi.
UkweliMtu anayekuchukia hata akikukuta unacheza ndani ya maji,atasema unamtimulia vumbi.
Kweli kabisaKuna wakati unafanya kazi kwa bidii kuliko wengine, na hakuna kinachofanikiwa.Kuna wakati unafurahiya tu, na kila kitu hufanya kazi.Usitarajie safari thabiti, inayotabirika.
NakubaliKuna wakati unafanya kazi kwa bidii kuliko wengine, na hakuna kinachofanikiwa.Kuna wakati unafurahiya tu, na kila kitu hufanya kazi.Usitarajie safari thabiti, inayotabirika.
SawaPata furaha katika kila kitu unachochagua kufanya. Kila kazi, uhusiano, nyumba ... ni jukumu lako kuipenda, au kuibadilisha.
HaswaaKuwa Makini na kile Unachokisema wakati una Hasira kwasababu Watu wanaweza Wakakusamehe, Lakini Wasisahau ulicho Kisema.